mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Mgombea anayenipa Changamoto nafasi ya Urais ni Mgombea wa CCM

    Kauli hiyo imesema na Coaster Kibonde Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia MAKINI katika kipindi cha MORNINGBANTU cha Star Times Bongo
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole ana mgombea wake mfukoni?

    POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI? Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumpitisha mgombea uraisi ccm ni batili ni mhimu kurudiwa

    Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Mgombea adaiwa kugawa pikipiki kwa wajumbe Mkoani Shinyanga

    Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge. Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

    Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  11. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
  12. JamiiForums Tanzania CHALIE HOTEL ECHO SIERA SIERA

    Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

    Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili. Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi. Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM ukoje?

    Baada ya hotuba ya Ndugu Polepole,nimegundua sijui mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM,naomba kueleweshwa?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  16. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi

    CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi Chama cha Mapinduzi (CCM) Nzasa wametoa salamu kali, wakisema kuwa iwapo mgombea wao atakatwa na kwa sababu zozote, hawatashiriki uchaguzi wa Oktoba 2025. Kauli hii inakuja wakati nchi ikijiandaa kwa uchaguzi wa urais, ubunge na...
  17. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa ticket ya CCM atachukua lini fomu ya kugombea Urais na atairudisha lini?

    Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
  18. JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Siasa za kiwendawazimu karne hii kuruhusu Mgombea Uraisi kuwa Mkubwa kuliko Chama chake Cha Siasa

    GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…