Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi.
=====================
Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK
==
CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.
Makonda ameeleza...
Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP) kimesema endapo kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaanzisha hatua kali dhidi ya vitendo vya ufisadi, ikiwamo kujenga bwawa maalumu lenye mamba Ikulu kwa ajili ya kuwachukulia hatua mafisadi.
Kauli hiyo imetolewa leo, Jumatano Septemba 17...
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli
Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili...
Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kugawa trekta 2 kwa kila kaya kumi katika kata ya Ifakara Mkoani Morogoro.
Pia ameahidi kuwapatia Vijana wenye umri kuanzia miaka 18 mashine aina ya power tiller kwa kila kijana ili...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35 ilikuboresha maisha ya vijana, kwa upande mwingine Kibonde ameahidi kutoa elimu bure kuanzia elimu cha awali hadi chuo kikuu.
Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya .
Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD
Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO
Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...