mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  2. R

    Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

    Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo. Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje. Kuhesabu tunahesabu wote...
  3. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  4. M

    Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza

    Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023. Mostafa...
  5. L

    Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  6. PreGE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

    Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
  7. T

    PreGE2025 Mgombea mwenza wa Urais Tanzania akitokea Zanzibar mgombea Urais anakuwa ametokea nchi gani?

    Mgombea mwenza wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokea Zanzibar mgombea urais anakuwa ametokea nchi gani? PIA SOMA - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
  8. Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  9. PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  10. B

    PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  11. Utamjuaje Mgombea asiyefaa kuchaguliwa?

    Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya practical, ahadi kama hizo ni ahadi zinazovutia kuzisikia lakini ni ahadi za uongo zisiweza kutekelezwa...
  12. ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
  13. AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  14. D

    PreGE2025 Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali...
  15. M

    Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

    Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano. Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde...
  16. P

    Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  17. Je, unaweza kumpigia kura mgombea wa chama kingine aliye na uwezo na sera bora kuliko Mgombea wa Chama chako?

    Niaje Wadau, Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana. Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama vyao hata kama hawana uwezo na sera zenye tija. Baadhi ya watu wanalazimika kutetea hata mabaya na...
  18. Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  19. B

    Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  20. John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…