mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  2. K

    PreGE2025 Ushauri kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali. Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za...
  3. Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

    Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.
  4. PreGE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
  5. Hivi 'No Reform no Election' inapigania na mgombea binafsi?

    Kwa kweli binafsi nimechoka na wagombea wa vyama. Hii 'No Reforms no Election ya CHADEMA inapigania na mgombea binafsi?
  6. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  7. Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

    Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo, Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM, wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
  8. R

    Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  9. watu walio weka huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kujiundia tume huru wanapaswa kuchunguzwa na hata kushtakiwa

    Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
  10. PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  11. kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  12. Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  13. Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+, Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza...
  14. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  15. PreGE2025 Haikuwa sahihi Samia Suluhu alivyotangazwa mapema kuwa mgombea urais 2025 kupitia CCM

    Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi. Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni. Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa. Sawa,lakini lakini sasa lazima human rights record ya huyu Rais na serikali yake hii. Na unapoelekea...
  16. Prof Ndalichako alifaa kuwa Mgombea mwenza Oktoba 2025

    Kiukweli Mkoa wa Kigoma Una hazina ya wasomi mahiri. Ilifaa Prof Joyce achukue kijiti kwa PhD holder mwenzake
  17. F

    GE2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  18. Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
  19. UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  20. CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

    Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…