Huyu mama yenu sijui ana hofu ya nini?
Yani kuna police wametumwa Mwanza kwenda kuongeza nguvu kwenye siku ya tamati ya kampeni za mgombea urais wa CCM.
Kama sio kuchezea pesa za umma ni nini hiki yani umsafirishe police kutoka mtwara hadi mwanza kwa ajili ya ulinzi wa siku moja tu,ana hofu...
Wanabodi
Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo, akiwa katika ziara za kampeni Wilaya ya Serengeti, aliwahutubia wakazi wa Mji wa Mugumu.
Katika hotuba yake, Mhe. Doyo alisema kuwa ni fedheha kwa wananchi wa Serengeti kukosa miundombinu bora ya...
Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid, akiambatana na mgombea mwenza wake Juma Khamis Faki, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa jijini Dodoma.
Baada ya...
Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha:
"Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa."
"Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba...
Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hata hivyo, chama hicho kimeshindwa kumpata mgombea urais upande wa Zanzibar baada ya...
Hivi umewahi kujiuliza, ikiwa Magufuli angeishi hadi kumaliza awamu zake mbili za miaka 10 ya uraisi, angemuandaa nani ndani ya CCM ili awe mrithi wake wa kiti cha uraisi? Nimekuwa nikiwafikiria watu kadhaa na kukata mashauri yafuatayo;
Makamu wake wa Raisi, Samia - hapa hakuna kabisa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.