🔥 FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – MGODI UNAUZWA SANGAWE, MERERANI 🔥
Unatafuta uwekezaji wenye faida kubwa? Hii hapa nafasi ya kipekee!
💎 Maelezo ya Mgodi:
📍 Eneo: Sangawe – Mererani, Manyara
✅ Una leseni hai ya uchimbaji
⛏️ Umeshachimbwa hadi layer ya kwanza
💰 Tayari umewahi kutoa mawe (uthibitisho...