Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...