mfumo wa vyama vingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
  2. Mhaya

    Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  3. bopwe

    Tanzania hakuna mfumo wa vyama vingi

    Tanzania Haina Demokrasia ya Kweli ya Vyama Vingi Ni Udanganyifu Ulioratibiwa na CCM Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Badala yake, tumeendelea kuishi ndani ya mfumo wa chama kimoja uliovaa sura mpya chini ya ushawishi mkubwa...
  4. mwehu ndama

    VIDEO: Mrisho Mpoto anasema mfumo wa vyama vingi ni wakuchafuana , haufai kuwepo

    Yaan kadiri Siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ujinga wa waTanzania unazidi kujidhihirisha hadharani..Na sichelei kusema, uenda Tanzania ndio TAIFA linaloongoza kwa kuwa na watu maarufu wapumbavu na vilema wa fikra duniani. Adioss!!!!!!!!!
  5. Wakusoma 12

    Mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Haya ni maoni binafsi maana kwa Sasa inaonekana kushabikia siasa za upinzani ni kosa la kukuletea umauti. Wakusoma 12 kwa napendrkeza mfumo wa nyama vingi ufutwe ili taifa lifuate mrengo wa chama kimoja Cha siasa. Hatuwezi kuendelea kupoteza maisha ya watu kisa vyama vya siasa na hili ni...
  6. M

    Haijawahi kutokea tangu Dunia iumbwe chama cha upinzani kufanyiwa hivi

    Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:- 1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu. 2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu. 3...
  7. K

    Je tuna vyama vingi kwasababu ya wazungu au Watanzania?

    Je tuna vyama vingi kwasababu ya wazungu au Watanzania?? Mfano wa Chadema 1. Mwenyekiti kafunguliwa kesi ambayo haina ushahidi mpaka leo ya uhaini. Yupo Jela 2. Tume imeizuia bila kufuata sheria zozote kushiriki uchaguzi 3. Msajili wa vyama amezuia kulipwa ruzuku 4. Msajili kaengua viongozi...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  9. The Supreme Conqueror

    Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?Bunge la Job Ndugai

    Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
  10. econonist

    Tufanye referendum ya mfumo wa vyama vingi

    Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama tuendelee na mfumo wa vyama vingi. Tunadanganyana kwamba tupo kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali...
  11. Genius Man

    Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

    Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
  12. Cute Wife

    Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni...
  13. Nehemia Kilave

    Mfumo wa vyama vingi ni mfumo uliofeli kwa Nchi za Afrika na haukuja kuisadia Afrika, Tuuboreshe kabla hali haijawa mbaya

    Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia. Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
  14. Tlaatlaah

    PreGE2025 Siasa za chuki, kutokuaminiana na kutokuelewana kwa wapinzani nchini ni kwa faida ya nani kwenye ustawi wa Demokrasia ya Vyama vingi nchini?

    Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana.. Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau...
  15. L

    PreGE2025 Rais Samia atavunja Rekodi ya Jakaya Kikwete ya 2005 kwa kupata kura nyingi tangia kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya nne anashikilia rekodi ya kupata kura nyingi na kwa asilimia kubwa katika awamu yake ya kwanza tu katika kutafuta nafasi ya kuingia ikulu tangia mfumo wa vyama vingi uanze. Napenda...
  16. Mto Songwe

    Mkiwa na akili Mfumo wa Chama Kimoja mzuri sana tofauti na Mfumo wa Vyama Vingi

    Acha niweke wazi hapa mwanzo kabisa kuwa binafsi siungi mkono mfumo wa chama kimoja hapa taifani. Haya turudi kwenye uzi. Kwa watu au taifa la watu wenye akili mfumo wa chama kimoja ni moja ya mfumo mzuri na bora sana katika kutawala na kuleta maendeleo na kuimarisha umoja. Hii nafasi wanayo...
  17. MGOGOHALISI

    CCM haikuruhusu mfumo wa vyama vingi ili siku moja itolewe madarakani

    Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
  18. R

    Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

    Salaam, Shalom! Swali hili nimekuwa nikujiuliza kitambo sasa kuwa, Ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi July 1, mwaka 1992, CCM iliyokuwa chama pekee katika mfumo wa chama kimoja, ilipata usajili UPYA na kujitenga na kujishikamanisha na system? Maana ukikiangalia chama hiki Kwa nje ni kama chama...
  19. Mwanamayu

    Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

    Hii namna ya uenezi inanitia hofu. Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya? Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania? https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
  20. Bams

    Ni uongo Kudai 80% Walikataa Mfumo wa Vyama Vingi

    Hakukuwahi kuwa na kura ya maoni ya kuwauliza wananchi kama wanataka mfumo wa vyama vingi au kuendelea na mfumo wa chama kimoja. Hakukuwahi kuwa na tangazo lolote la kuwataka wananchi watoe maoni mahali popote kama wanataka mfumo wa vyama vingi. Kilichofanyika ni kwamba wakati uchumi wa nchi...
Back
Top Bottom