mfumo wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  2. Tusipojua tunataka nini kwenye elimu yetu, tutakuja kupangiwa na watu wa nje

    Naona kama kwenye education system bado tumelala sana. Hivi huwa najiuliza. Wananchi wa tanzania wanataka watoto wao waelimishwe kuhusu nn. Elimu bora imefafanuliwa vipi kwa wazazi. Tuna mpango endelevu kweli wa kujua watoto wetu wanahitaji kujua nn mashuleni utakao husisha kubadilishwa kwa...
  3. I

    Kwanini Darasa la 8 lilifutwa katika mfumo wa elimu?

    Habari wadau? Hivi Kwani Mwanafunzi anakaa miaka Mingi anasoma tuu mwisho anamaliza hana ujuzi? Kama zamani iliwezekana Kupunguza Madarasa kwanini Sasa hivi ishindikane? Elimu yetu Primary 7years,Secondary 6years,Chuo 3/4 yrars Total 18 year Mtu anasoma Tuu Mwisho anakosa Ajira anakuwa Tegemezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…