Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake.
Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa kikikabiliwa na mfululizo wa matukio mbalimbali hasa misukosuko ya kisiasa na...