mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): Muswada wa mazungumzo ya Kitaifa, Ukweli, Maridhiano na Uponyaji wa Kijamii, 2026

    Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026. Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK).
  3. JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

    Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50, Je chadema watapokea huo mchango? Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano? Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
  5. JamiiForums Tanzania CCM kuhusu CHADEMA jifunzeni kwa mfano wa Kaini na Habili

    Kwenye Biblia kuna masimulizi ya wana wawili wa Adamu na Hawa, ambao ni Habili na Kaini. Biblia inasimulia kuwa Kaini ambaye alikuwa ni mkubwa alikuwa Mkulima wakati mdogo wake Habili alikuwa ni mfugaji. Inasemwa kuwa Kaini aliona wivu jinsi mdogo wake Habili sadaka zake zilivyokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi imekosa Godfather, ukiangalia yanayoendelea. Mfano, Mwaipopo kuwa na kundi la Kigaidi na Vyombo vya Dola vipo kimya?

    Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao. Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Legacy ya hayati JPM ni kwa Afrika nzima alikiwa mfano wa kuigwa kwa ajili ya Afrika. Angekuwepo taifa letu lisingepata mpasuko kama huu

    Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na rais kama hayati JPM. Leo hii taifa letu lina mpasuko mkubwa. Ufisadi na nepotism linatajwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania TRA wawe na duka lao la mfano kwa Wafanyabiashara

    Video: ALAMA GLOBAL
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Katika watu wanaishi maisha ya rahaa mfano ni prof mussa juma assad.

    Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho. Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara. Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi. Ukiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Melo aendelea kuonesha mfano kwa kukutana na watu mbalimbali, hapa kaamua waje school of law

    Anaandika Max Mello “Leo, Juni 11, 2026 nimepata ugeni wa vijana kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Walionitembelea ofisini kutaka kujifunza masuala mbalimbali Tumekuwa na wakati mzuri na kushirikishana masuala Mbalimbali huku wakipata kujua shughuli...
  12. JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II Record Management Assistant II

    Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii. Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanaorudi upande wa Nchimbi wananikumbusha mfano wa ajabu

    Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia. Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

    Kumekucha wazee? Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25. Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?, Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
  15. JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Only fools fall for religion traps.
  16. JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

    Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
  18. JamiiForums Tanzania Tuige mfano mzuri wa Wajapan kuhusiana na imani za dini

    Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunajivunia tulivyoumbwa mfano nguvu za mwili au vitu tulivyovikuta kama mito, milima na madini, kwanini hatujisifii vitu tulivyotengeneza ?

    Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana?

    Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana? mabati haya aina ya vigae maarufu kama versatile fatilia uzi huu nitashare maoni yangu kama una maoni yako yalete pia 0743 257 669 fundi kupaua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…