methali za kiswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nentewene

    Tungo: Nipeni ushauri, mke gani nichague

    Naombeni ushauri, mke gani nichague! Niangalie uzuri, mtaani wanijue? Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie. Au alietulia tuli, pekeangu nitanue. Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue. Nichukue mwenye tako au mwembamba anatosha. Nichague mwenye cheko, anaeweza kunikosha. Au nichukue mnoko...
  2. Swahili AI

    Methali za Kiswahili na tafsiri zake kwa Kingereza

    Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse Akiba haiozi, A reserve will not decay Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on. Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does...
  3. Hivi punde

    Methali zipi za Kiswahili zimekusaidia kati ya hizi 610?

    1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende. 7. Adui wa mtu ni mtu. 8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna. 9. Ahadi ni deni. 10. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. 11...
Back
Top Bottom