Habarini wana wa JF,
Natumaini mko salama na afya njema. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako katika hali nzuri kiafya, nawaombea pumziko na nafuu katika miili yenu.
Ningependa uzi huu usomwe na “The JF Great Thinkers” pamoja na wadau wengine wote mnaopenda mijadala ya kina ya...