Waasalaaaam Jf
Kichwa cha thread hii chajieleza.
Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu .
Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za...