mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. Mechi ya ligi kukosa huduma ya kwanza inakuwaje?

    Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa uwanjani, niajiuliza wale wahudumu wa huduma ya kwanza hawakuwepo {First Aid}? Hivi mechi hiyo...
  2. Kurudishiwa Viingilio vya Mechi Simba vs Yanga

    Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi. Nawezekana uliwekwa utraratibu mwingine na wengine hatujui, tuna haki ya kujua au kukumbushwa manake juzi kati...
  3. Hatari: Foward ya Yanga Mechi mbili goli 6

    Wakati watani zao wa jadi wakiambulia ushiindi kiduchu wa kigoli kimoja Yanga wamefanikiwa kutia nyavuni bao sita kwa mechi mbili tu.
  4. A

    Ombi kwa TFF kutumia marudio ya matukio ya Azam kama VAR kwenye matukio Tata

    Habar wadau wa michezo, Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi wetu screen ndogo ambayo inakua imeonganishwa moja kwa moja na kifurush cha Azam ili kama linatokea...
  5. M

    Messi vs Ronaldo: Rekodi mechi za kimataifa-Namba hazidanganyi!

    MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 73GOALS 43ASSISTS 146APPS 165 mins per goal 104 mins per goal contribution RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME 106GOALS 30ASSISTS 176APPS 132 mins per goal 103 mins per goal contribution
  6. M

    Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  7. Mchambuzi wa EFM Mwanayanga SC Jemedari Said: Yanga SC iache Unafiki kuhusu Mechi yake na Simba SC tarehe 3 July, 2021

    " Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa watacheza huo Mchezo baada ya Kuahirishwa na Serikali iweje leo wanajitokeza Watu wengine pembeni na...
  8. Ijue Ajenda ya Siri juu ya Yanga SC 'Kutishia' kutocheza Mechi yao na Simba SC 03 July, 2021

    Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka 'Kuidhoofisha' Klabu ya Simba Kimapato kwakuwa Mechi hii ijayo Simba SC ndiyo Mwenyeji. Hivyo basi...
  9. M

    Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  10. FUNGUKA: ‘Nacheza Mechi Za Majuu Pekee’

    KWA wengi suala la mahusiano ya pembeni katika ndoa haliruhusiwi kamwe. Lakini licha ya haya, kuna baadhi ya wanaume ambao bado wana mwanya wa kurambaramba vya nje. Daniel ni mmoja wao. Inapowadia katika masuala ya kusakata mechi za nje, yeye ni gwiji. Dume hili haliitwi gwiji tu bila sababu...
  11. Kilichotokea kwenye mechi ya Belgium na Croatia

    Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia. Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake! Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa kubadilishana jezi, kwahiyo hata yako baki nayo tu! Lukaku kashangaa! Eeh, kweli mmekatazwa? Jamaa...
  12. Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

    Watani kumewaka hukooo. Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula. Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points. Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya. Mwanzo walitaka kusikilizia TFF...
  13. N

    Yanga hawaitambui mechi vs simba ya tarehe 3 July..

    Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote wanaangushia jumba bovu wasiohusika jameni tarehe 3 hawa jamaa wanakimbia tena.
  14. Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  15. N

    Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  16. Azam TV mechi mnazozirejea wekeni na tarehe

    Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '. Mechi hii huwezi itambua ni ya lini ila imechezwa uwanja wa Chamanzi, nawashauri wawe wanaweka tarehe mechi za marejeo siku...
  17. K

    Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  18. Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
  19. Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

    Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it! Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF Champions League this season. Amakhosi take on Simba SC of Tanzania in the first leg of Africa’s premier...
  20. Mechi ya Simba na Yanga iliaihirishwa na Mzee Ruksa?

    Viongozi wetu wakuu nchini ni wapenzi wa waziwazi wa simba na yanga. Mfano, Mheshimiwa Makamu wa Rais na waziri wa fedha ni shabiki lialia wa Yanga, Waziri Mkuu na Spika ni mashabiki lialia wa simba. Viongozi hawa wote walikuwa kwenye birthday na uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi siku na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…