mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. Kanuni ya masaa 72 timu kucheza mechi haiswihi kwa Tanzania

    Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi zisizozuilika kwa wachezaji. Wachezaji wetu wengi hawakutokea kwenye sports academies hivyo wanarukiana tu...
  2. Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  3. J

    France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

    Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao...
  4. Baada ya Ihefu FC 'Kutubikiri' jana sasa tumebadilika na Kujifariji kwa Kuifurahia 'Unbeaten Record' ya Mechi 49

    Kwa Mashabiki wenu Oya Oya (Akili Kupotea) hapa najua Watawaungeni mkono ila kwa Sisi Wanamichezo wa kweli tunajua kuwa mmeumia mno na Kubikiriwa na Walima Mpunga huko Mbarali Mkoani Mbeya jana. Sasa kama baada ya Kichapo Bikiriwa chenu cha Jana Lengo lenu lilikuwa ni Kufurahia Unbeaten Record...
  5. Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

    Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
  6. Kila mechi na mshindi mmoja wa simu mpya

    Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
  7. AZAM FC imeshinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu Bara, unazungumziaje mwenendo wao?

    ✅ 1-0 v Simba ✅ 1-0 v Ihefu ✅ 2-1 v Dodoma Jiji ✅ 4-3 v Mtibwa Sugar ✅ 1-0 v Ruvu Shooting ✅ 1-0 v Namungo ✅ 3-2 v Coastal Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
  8. M

    Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  9. Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

    Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic. Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana...
  10. Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  11. M

    Narudia tena na tena mechi za mikoani ndizo zitakazoamua bingwa kwa mara nyingine

    Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...
  12. Tusiwalaumu TBC kutokurusha mechi zote za kombe la Dunia

    Husikeni na somo tajwa hapo juu. Nimeona watu wakilaumu kituo cha Taifa kutokurusha mechi zote live. Kama ulikuwa hujui TBC wamepewa idhini ya kurusha mechi za bure (Free To Air - FTA). Ili kuona mechi zipi zitarushwa na TBC angalia hapo kwenye ratiba ukiona FTA ndiyo ujue hiyo ndiyo...
  13. Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

    Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran nakuta wanaonyesha sijui vinini! Yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi.
  14. Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

    Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa. Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
  15. Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

    14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni. ✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
  16. Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

    Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo...
  17. Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALI
  18. Yanga yajikita kileleni kwa mechi 46 bila kufungwa

    Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao pekee alilofunga kinda Clement Mzize dakika ya 18 ni la kwanza kuifungia Yanga kwenye mechi za...
  19. Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  20. Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

    Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…