Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo msimu ujao afanye hivyo sasa wakati dirisha la usajili liko wazi.
Changia fedha, mawazo, maoni...