mechi ya simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  2. Kichuguu

    Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

    Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
  3. B

    Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  4. DuaZaMama

    Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

    Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  6. Dogoli kinyamkela

    Utabiri wangu wa mechi ya Simba final

    UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL 1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja. Wataungwa mkono na mashabiki nyumbani, uwanja utakuwa na presha kubwa kwa wageni. Huwa wanacheza...
  7. Kekule Wa Benzene Ring

    Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  8. Wakusoma 12

    Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  9. R

    Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  10. Waufukweni

    VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
  11. Samia atosha tukutane2030

    Nachelea kusema kuwa hii nchi kuna mambo ajabu. Ni miezi miwili Sasa Kila siku redioni na magazetini wanajadili mechi ya simba na yanga

    Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku. Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa, tatu mashetani, weka butua. Failed state Failed leadership Failed citizens
  12. Franky Samuel

    Maneno ya Ally Kamwe baada ya matokeo ya mechi ya Simba vs Mashujaa asema "tuwaheshimu viongozi wetu"

    Meneja wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿 "Kwa mlioyaona Leo Wanayanga na bado Timu yetu inaongoza Ligi .. Ni Ishara kuwa Tunapaswa kuwaheshimu na Kuwaombea sana VIONGOZI WETU Sio rahisi hata kidogo, Ingekuwa ni watu dhaifu wangeshakata Tamaa...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

    Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga mamlaka ya kupambana na kuzuia rushwa inachunguza mienendo ya rushwa ndani ya timu za mpira bila uoga yaani wanakuwa na meno tofauti na ilivyo sasa
  14. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  15. Waufukweni

    Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
  16. Waufukweni

    Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  17. mdukuzi

    Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  18. Mhafidhina07

    Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  19. S

    Sitashaangaa FIFA au CAS wakaamua kufanya uchunguzi wa kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga kabla ya kutoa uamuzi

    Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati). Kwa msingi huo, FIFA au CAS...
  20. Mwande na Mndewa

    Mazoezi ya nusu saa yahairisha mechi ya Simba vs Yanga

    Leo 18:50hrs 08/03/2025 Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31 waliokuja Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Yanga,mtaani watu wamepamba Maputo rangi nyeupe na...
Back
Top Bottom