Habari JF,
Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja,
Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni...