mchepuko wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Leo nimeonana na mchepuko wangu wa ujana Chato

    Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae. Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu. Mwisho kabisa mke wa mtu ni SUMU ingekuwa ndio zama za sasa ningekuwa nimefukiwa ardhini. Nasisitiza tuwe makini...
  2. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873 Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani. Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia...
  3. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

    Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya urembo wa kina mama. Sasa Ni mwezi umepita aliponiomba nimfikirie tena niurejeshe Moyo nyuma...
Back
Top Bottom