Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe.
Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
Hii ni mada ya kukufumbua macho mkulima.
Dhima kuu ya mada hii "Kulinda maslahi binafsi ya mkulima mdogo mdogo"
Kufuatia ukuaji wa teknolojia nnchini na duniani! Mkulima sasa amehama katika ile zama ya kutwanga mpunga katika kinu asili na kuenda katika mashine.
Ni hatua kubwa na nafuu na...
Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Fursa kwa Wenye Mchele
Una mchele lakini huna soko la kuuza? Au labda una mchele uliopata hitilafu kidogo na hujui wapi pa kuupeleka?
Usihangaike tena!
Tunakaribisha wakulima, wauzaji, na wasambazaji wa mchele — hata ule usio na soko kwa sasa. Tunatoa fursa salama na ya uhakika kuuza mchele...
Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua.
Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
dakika
dunia
kati
mchele
mgogoro
mgogoro wa ukraine
muhtasari
mungu
nchi
nchi za ulaya
nyuklia
ogopa
tanzaia
ukraine
ulaya
umoja
umoja wa nchi
urusi
vita
Habari wadau,
Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu!
Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala.
Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana.
Asanteni.
hizi blaa blaa zenu za kubambikiza kesi kila mkiwa na stress za kisiasa zimechoka. You tryna play with Tundu Lissu like he's some village boy? Hell nah, this dude got legal smoke kuliko nusu ya system yenu combined.
Huyu jamaa alikula books hadi aka-outsmart watu kwenye meza za kimataifa...
Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
====
Salaam Ndugu zangu
Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
Kama Kuna mdau yupo dar anahitaji Mchele mzuri kutoka Mororogo anicheki.Mchele upo Dar maeneo ya masaki Kuna kilo zaidi ya 300 ..Bei ni makubaliano karibuni( Au piga 0756203792)
Wakuu kwema!
Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano
Mchele
Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100
Rejareja 2700 tsh
Maharage
Jumla 3000tsh kuazia kilo 100
Rejareja ni 3400 tsh
Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane
Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa)
Nakuletea popote...
Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂
Turudi class
Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi
Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.