Tangu Mikel Arteta achukue nafasi ya ukocha Arsenal mwezi Desemba 2019,Safari imekuwa na hisia Kali kwa mashabiki na wapenda soka kwa ujumla.Kwa upande wa mashabiki wamelazimika kuendana na matokeo ya kushangaza yanayo ikuta timu yao. Lakini mchakato huu imekuwa na vipengele vikuu vinne...