Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...