mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Filamu za kichawi zinaharibu watu kisaikolojia

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba Wizara hiyo kupitia Bodi ya Filamu Tanzania kuziangalia upya Filamu zenye maudhui ya ushirikina...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Achangia Wizara ya Viwanda na Biashara

    MBUNGE JANEJELLY ACHANGIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA, MUONE HAPA Mbunge wa Viti Maalumu, Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini, Mhe. Janejelly James Ntate ameunga mkono hoja na maoni ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda huku akisema kuwa hayo yametokana na kazi aliyoifanya Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo

    Nikikumbuka maneno ya mbunge huyo wa Jimbo la Bunda vijijini alisikika akisema kama angeweza angefuta boom vyuoni, kwa kuwa alikuwa akiishauri serikali maana yake ushauri wake umepokelewa. Kama haukupokelewa ni kwa Nini hadi nukta hii bodi imeshindwa kutoa boom kwa wanafunzi wa vyuo, mbona kama...
  5. JamiiForums Tanzania MBUNGE Condester Sichalwe: Kujengwe Barabara ya Kulipia

    Mbunge wa Momba Condesster Sichalwe ameishauri Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Uchukuzi waone namna ya kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ili kujenga barabara ya kulipia ambayo itaongeza Pato kwa Taifa. Sichalwe ametoa ushauri huo bungeni jijini Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aja na mkakati Kabambe kuwawezesha Wanadodoma kiuchumi

    -Kufadhili uanzishwaji wa kiwanda kimoja kidogo kila mwaka -Kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wananchi -Wanawake,Vijana na wenye ulemavu kupewa Kipaumbele -Amshukuru Rais Samia kurejesha mikopo ya asilimia 10 Mbunge wa Dodoma Mjini Mh.Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Jimbo lake la Dodoma...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
  9. JamiiForums Tanzania MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  10. JamiiForums Tanzania Wangapi wanamuunga mkono mbunge Msambatavangu?

    Wakuu Heshima mbele! Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma. Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto wakike na wamama, lakini Kwanini si kwa watoto wakiume...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika Taifa letu la Tanzania na jinsi ambavyo ameendelea kuboresha Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo inasababisha wananchi tuendelee kukaa katika hali ya ulinzi na usalama" - Mhe. Martha Festo Mariki, Mbunge wa Viti Maalum...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Natoa pole kwa Wananchi wa Jimbo la Kibiti na Jimbo la Rufiji kutokana na kadhia ya mafuriko, nawaomba wananchi waendelee kuwa na subira kwani Serikali ipo kazini inaendelea kuwashughulikia wananchi ambao wamepatwa na mafuriko" - Twaha Ally Mpembenwe, Mbunge wa Jimbo la Kibiti "Namshukuru...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua sheria imuangalie upya namna ya kumhudumia kwa kumpatia elimu kwa kuwa anakuwa na changamoto nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rorya, Jafari Chege Awaka Bungeni Bei ya Dagaa Kwenye Mialo

    MBUNGE WA RORYA MH. JAFARI WAMBURA CHEGE AWAKA NA BEI YA DAGAA KWENYE MIALO 👍Leo akichangia Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Mbunge huyo wa Rorya Mh JWC atoa Ushauri kuhusu Bei ya Dagaa mwaroni walipo walaji wa Chini. 👍Mh Chege Amesema kutokana na walanguzi wa Dagaa Kutoka Nje ya Nchi,Kufika hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni ya Mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuiongezea ukwasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…