mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni mwendelezo wake wa kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
  2. PreGE2025 Hakuna mbunge hata mmoja wa CHADEMA atashinda uhaguzi ujao

    Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema...
  3. Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  4. Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  5. Mbunge Stephen Byabato awakutanisha Watoto yatima 200 Bukoba kwa Tamasha la Sadaka na Shukrani

    Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba. Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
  6. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  7. PreGE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

    Mbunge wa Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood, amejitolea kwa dhati katika kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo lake kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Miongoni mwa mafanikio yake ni pamoja na👇 1. Dkt. Abood alikabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) hatua iliyosaidia kuboresha...
  8. Bora Dkt. Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge - Dr Kikwete 2010

    Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Alitoa kauli hiyo kuonyesha Jinsi ilivyo ngumu kudeal na Tundu Lissu kama kiongozi mpinzani kuliko yeyote akiwemo Dr...
  9. Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  10. Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  11. Ghana: Wapiga Kura wa Ablekuma Magharibi wasusia Chakula cha Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful, siku ya uchaguzi

    Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi. Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
  12. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Eneo (Site) Ujenzi wa Soko la Kimkakati la Kabanga kwa Mkandarasi

    06/12/2024 Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
  13. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  14. Mbunge Gekul afika kwenye Madhabahu, adai tuhuma za unyanyasaji "Ule ni Uongo"

    Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa...
  15. Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  16. PreGE2025 CHADEMA msipotumia akili huo mgao wenu wa Wabunge mlioahidiwa mtajikuta mmepewa Mbunge mmoja tena, achaneni na maridhiano

    Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba tumeshaona uwezo wa Chadema kupewa ubunge kwa njia ya rushwa kama mlivyokubaliana na CCM ni kaburi la kifo...
  17. LGE2024 Arusha: Mbunge Ole Shangai alivyokumbana na Wananchi Ngorongoro wakimtaka aondoke Kituo cha Kura Endulen

    Wakuu Hapa mori ilipanda Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi walimtaka kuondoka haraka na kumzuia kuingia kwenye kituo cha kupigia kura.
  18. LGE2024 Njombe: Mbunge wa Makete Festo Sanga apiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Kijiji

    Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha...
  19. LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  20. LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…