Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea.
Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake.
Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha.
Msukuma...
"Kila mwaka maandiko yanakuja yasema tuimarishe wakandarasi wa ndani nyinyi wote nimashaidi tunatoka kwenye jamii inayotuzunguka ya wakandarasi, kama kuna watu wanaisha maisha ya vidonge vya presha kwenye mifuko ni wakandarasi. Tunazungumza tu kirahisi tuwaimarishe lakini kazi zinapotoka...
Akizungumza kwenye bunge la 13, mkutano wa pili, kikao cha 6 leo Februari 3, 2026 Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Msukuma ameeleza kuhusu nafasi ya uenyeviti wa bodi kuchaguliwa kwa kuzingatia umri ili kuleta mawazo mapya na si kuwapa wastaafu wa miaka 70 ambao tayari wamechoka
Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
GT,
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo...
Nimemsikiliza Mbunge Msukuma. Amempinga sana Gwajima kwa hoja nzito alizozitoa mbunge wa Kawe.
Msukuma hakuishia hapo alisema Tanzania inaenda mwendo wa China kunyima uhuru wa maoni ili kumruhusu Rais afanye kazi yake.
Sasa mimi namwambia Msukuma. Kama anataka tuwaige China basi tuwaige na...
Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi.
Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM.
Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina
Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge
Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti na mnywa kahawa pale Buguruni
Leo nimemsikia akipuuza na kusema kuwa wahudumu wa SGR wafutwe kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.