mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Eti Mwanajeshi wa Marekani kaacha kutumia pourus border aende kutumia mpaka rasmi akiwa na mabomu! Acha watingishe Meza yenye Vinywaji vya bei mbaya

    Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu. Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
  3. JamiiForums Tanzania Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa. Tusipokuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Amani siyo kuwa na pesa bali ni kuwatendea wenzako Haki. Huyu mama mwisho wake utakuwa mbaya sana

    Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mkimrudisha huyohuyo asietakiwa itakua mbaya sana

    Naona huko Instagram GEN Z wanadai kama watafosi arudi huyuhuyu kizimkazi basi nao watakuja na #MO29SEASON2 wanasema hiyo itakua mbaya sanaa. Chukueni hatua huyo mtu hatakiwi. KITUKO 👇👇👇👇
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kutengana na mwanamke nimeota ndoto mbaya

    Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe. Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
  10. JamiiForums Tanzania Heche na watanzania yanayotokea sio bahati mbaya

    Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
  11. JamiiForums Tanzania Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

    Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Al Jazeera : IRAN Wajawa na khofu hali yao yazidi kuwa mbaya, wamedhoofu sana

    Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete. Huwasikii tena Iran wakitamba na kujipanua kama mwanzo. Wamebana ngenge kwa sasa. Wamegundua jamaa ukitanua...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  15. JamiiForums Tanzania PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

    Ahadi nyingi zinamwaga hapa😂, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa "Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona mtandaoni, nimeona sio mbaya nishare na nyie

    Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo. Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata. Mfundishe kuwa kuna...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

    Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda... Kama unajipenda anza zoezi la kuacha.. SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA 1. Shambulio la moyo 2 uraibu 3.kichwa kuuma mara kwa mara. 4.Kisukari type 2 5. Uharibifu wa figo. 6.kipandauso (Migraine) 7...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sasa naamini kuna watu ni wa bahati mbaya

    Imagine kila unachokifanya hakiendi, tumia akili to the maximum, piga kazi sana lakini wapi.... We dunia kwani umechagua watu wa kufurahia maisha? Dunia ulaaniwe kabisa.
  20. JamiiForums Tanzania Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…