mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Iseeee! Bangi mbaya!

  2. JamiiForums Tanzania Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  4. JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

    Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain. Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan. lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
  6. JamiiForums Tanzania Sio mbaya ya supu nimepata

    Kuelekea kufungua ligi mkamaria nimeanza kama hivi nasemaje ama zangu ama za sporty bet msimu huu
  7. JamiiForums Tanzania We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

    Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa? Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana.. Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali msirudie tena huo uchafu. Sikia, nyie mabinti mnataka kuanza kufanya nini hapo, embu acheni huo...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

    Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
  9. JamiiForums Tanzania Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma... Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda. Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

    Salam. Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi! Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
  11. JamiiForums Tanzania Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  15. JamiiForums Tanzania Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRC inahujumiwa? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa. Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki ukweli ni utaratibu mzuri sana na unatupunguzia adha ya kukaa foleni muda mrefu. Lakini kuna mchezo...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi kilichowavutia yanga kumsajili mchezaji huyu huku akiwa na rekodi mbaya ya kadi nyekundu?

    Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana

    Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

    Habari wadau hivi maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?
  20. JamiiForums Tanzania Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…