mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JITATHMINI: Mambo 10 Yanayobainisha Kwamba Una Roho Mbaya

    "Roho mbaya" ni neno subjective. Hata hivyo kuna viashiria vya msingi kabisa ukiona unavyo, basi jitambue una roho mbaya, anza mkakati wa kujirekebisha. Mambo hayo ni kama ifuatavyo:- 1. Unafurahi unapowaona wengine wakipata matatizo. Ndugu yangu kama unafurahia watu wanaposhindwa au kuumia...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu shabiki wa Esperance aliyeokolewa na shabiki wa Mamelod ingekuwa taifa Yanga walivyo na roho mbaya angekufa

    Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika mashabiki wenye roho mbaya wa kitanzania hususani wa yanga wasivyo na utu wanakuacha au wanakusukumiza...
  3. JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Kilwa road

    gari kubwa lililobeba mbolea limehama njia na kuingia upande wa pili. Eneo la Mbagala . Wawili wahofiwa kupoteza maisha wakiwa kwenye bajaji
  6. JamiiForums Tanzania Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

    Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa. Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni bahati mbaya au makusudi kuacha nguo ya ndani mahali ulipokaribishwa kwa mtu kwa shughuli ya faragha?

    Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo? Ni sahihi kweli kufanya hivyo? Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani? don't stamp authority scientifically plz kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  10. JamiiForums Tanzania Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke Anayefanya Usaliti wa Mapenzi kwa Bahati Mbaya

    Habari zenu wana nzengo Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
  13. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  14. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

    Eh, mniache Nimalizane na Birthday yangu Me.maswali mengine sina majibu Kuna mrembo ameulizq hapa Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish Kwenye mechi wabovu Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini? Hili swali niliulizwaga...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe hawa TMA Stars FC ni Wajeda watupu? Ebhana wako Fiti na wanacheza Physical ile mbaya. Kazi tunayo leo

    Hofu yangu wasije wakawa baadhi ya Wachezaji wao ni Makomandoo pia kwani wana Pumzi na Wanakaba Kijeshi mno.
  19. JamiiForums Tanzania Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

    Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…