mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila yenye lafudhi mbaya hapa Tanzania.

    1.Wachaga 2.Wakurya 3.wasukuma 4.Wamasai 5.Wanyakyusa 6.wahaya 7.Wajita 8.wasambaa 9.wapare 10.waha
  3. JamiiForums Tanzania Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  4. JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
  5. JamiiForums Tanzania Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja. Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna Uamuzi Mbaya Katika Fedha.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Watu wengi huogopa kufanya maamuzi ya kifedha kwa sababu wana hofu ya "kufanya makosa." Lakini ukweli ni huu: hakuna uamuzi mbaya katika fedha, kama umejifunza kutoka kwenye uamuzi huo. Kila hatua unayochukua kifedha—iwe umewekeza sehemu isiyoleta faida...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

  9. JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  10. JamiiForums Tanzania Huenda Mimba zetu zilitungwa kwa bahati mbaya, pengine hatukutarajiwa tuzaliwe.

    Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  13. JamiiForums Tanzania Usaliti ni mbaya sana

    Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!! Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ? Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi...
  14. JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubinafsi sumu inayotumaliza

    Roho mbaya, ubinafsi ni sumu tunayoilea. Ukiinuka, wananyamaza. Ukidondoka, wanatabasamu. Ukifaulu, wanahoji: “Aliwezaje?” Ukishindwa, wanafurahi. Hakuna uchungu mkubwa kama kupambana mbele ya macho yanayotamani uanguke. Watu hawakuombei ufanikiwe… wanakuombea usiwapite. Unaweza kuwapa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu asiyewatunza watu wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko atheist

    Katika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: “Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.” Mbele za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  18. JamiiForums Tanzania Je wajua kwanini watu wana Roho mbaya?

    Sababu za watu kuwa na "roho mbaya" ni ngumu kuelezea kwa jibu moja rahisi, kwani ni mchanganyiko wa mambo mengi yanayohusika. Hivi ni baadhi ya sababu zinazowezekana: 1. Mfumo wa Kisaikolojia na Kibiolojia: Hali ya Akili: Watu wanaweza kuwa na matatizo ya akili kama vile ugonjwa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Singida-Babati-Arusha ni mbaya ina mashimo ya kutosha, wahusika hili mnaliona tunaomba mlishughulikie hali ni mbaya

    Barabara ya Singida–Babati–Arusha ina mashimo mengi na hali yake ni mbaya. Wahusika, je, mnaliona hili? Tunaomba mlifanyie kazi kwani hali ni mbaya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…