mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji. Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

    Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
  3. JamiiForums Tanzania House4Sale Property for sale at Mbagala

    Land is suitable for both farming and commercial development purposes. Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready. Please contact for viewing and/or further information. 0784225000
  4. F

    JamiiForums Tanzania Takataka za miwa Mbagala

    Habari za sikukuu! Biashara ya miwa imeshika kasi sana maeneo ya Mbagala hasa toka kizuiani mpaka Mbagala rangi tatu, ukipita njia ya Mbagala maeneo hayo utakuta vijana wengi sana wanajipatia ridhiki yao kwa kufanya biashara hiyo ambayo kiukweli inafanya vizuri kutokana na muonekano wa maeneo...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA pikipiki TVS namba C inauzwa: Mbagala Dar es Salaam

    TVS cc 125 Full docs of ownership Haina tatizo lolote la kiufundi, engine haijawahi funguliwa. Bei: 1.5 milion Tshs Mbagala Dar Call 0744033555
  6. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Diwani wa Kata ya Mbagala, Michael Makwega ateua wasaidizi watatu kushika nyadhifa kwenye ofisi yake

    Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya. Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili waanze kulitumikia rasmi Taifa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamanzi

    KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI _______ UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643 _____ NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI _____________...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbagala hadi Kongowe inatesa wananchi Serikali itupie jicho

    Kwa wakazi wa Toangoma Kongowe Mkuranga Vikindu na hata abiria wanaotokea Dar kwenda Lindi, Mtwara, Songea na masasi watakuwa wameshakutana na kero ya kipande cha barabara kutoka Mbagala hadi Kongowe ambapo Barabara ni nyembamba sana. Kero ya barabara hii hutokea pale mlima wa Kokoto ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

    REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu! Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoka Mbagala, namsikiliza JK akimnadi Magufuli, JK anazungumzia mafanikio ya Serikali yake badala ya kazi za Magufuli

    Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wamepoteana Zakhiem Mbagala, subirini mziki wa CCM leo mtajutia mlivyobugi

    Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM. Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni 1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu. 2. Kudai katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hata Yusuf Manji alipogombea Udiwani Mbagala alikuwa akitumia Chopa, inasaidia kuvuta watu mkutanoni

    Tunakumbushana tu kwamba hata Yusuf Manji wakati anagombea Udiwani kule mbagala alitumia usafiri wa chopa. Chopa ni moja ya burudani katika mikutano ya wanasiasa kwani watu wengi hukusanyika kwenda kuishangaa. So Tundu Lissu kutumia chopa ni sawa tu na CCM inavyopendwa na wasanii akina Diamond...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Zakheim Mbagala: Yaliyojiri kwenye ufunguzi wa kampeni za NCCR-Mageuzi

    Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama Cha NCCR-Mageuzi kuzindua kampeni Jumamosi tar.5/9/2020 Mbagala Zakhiem

    Chama kikongwe Nchini na maarufu kwa mchakato wa Katiba kinatarajia kuzindua kampeni zake Jumamosi hii jijini Dar es salaam kwa Kishindo kikubwa Sana. Wadau wote mnakaribishwa. Mimi sio msemaji wa chama Ila mdau wa MABADILIKO. DON NALIMISON Simu Na: 0682 94 29 01.
  18. JamiiForums Tanzania LATRA/SUMATRA wanakaa ofisini na kuacha wamiliki mabasi kujipangia nauli watakavyo

    Wakala wa usafiri wa Mchi kavu yaani The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) ilianzishwa na sheria ya bunge t No. 3 of 2019. zamani tukiita SUMATRA. Gilliard W. Ngewe ndiye mkurugenzi mkuu wa LATRA, na makao makuu yapo LATRA Head Office,SUMATRA House, Nkrumah Street , Box 3093...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hivi hitaji kuu la wakazi wa Mbagala ni kurudishwa majina ya Wabunge waliokatwa na Tume?

    Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na Tume. Je, hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
  20. G

    JamiiForums Tanzania TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…