mbagala rangitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Temeke: Mbagala Rangitatu kulipofanyika bomoabomoa ni eneo la wazi, tulishinda kesi na tulishatoa taarifa waondoke

    Baada ya kutokea kwa bomoabomoa ~ Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani Serikali imetoa ufafanuzi wa kilichotokea... Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amesema: Eneo hilo ni lwa wazi (open space), hao wanaolalamikika...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo: Tunalani uvamizi dhidi ya Wamachinga na kubomolewa vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

    TAARIFA KWA UMMA Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia...
Back
Top Bottom