mazoea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SoC02 Mjamzito afanye hivi kuondoa mazoea ya kula udongo kutokana na madhara yake

    Watu maarufu waliowahi kula udongo. Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja. Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
  2. L

    Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

    Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu...
  3. Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  4. Ulitumia njia gani kumkwepa mtu aliyetaka kuzidisha mazoea na wewe?

    Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka, Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
  5. "Mazoea" yako hujenga mwamba mgumu moyoni mwako

    "MAZOEA" YAKO HUJENGA MWAMBA MGUMU KATIKA MOYO WAKO Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi Ingawaje maisha yanatufundisha tusiwe na MAZOEA kila siku, hayataki tuzoee lakini Sisi ndio tunalazimisha kuwa na MAZOEA, ndio maana leo ni tofauti na Jana, na kesho itakuwa mbali na siku ya leo. Wala...
  6. Mazoea yamezidi Ofisi za Umma

    Hizi ofisi za Serikali siku hizi mambo yamerudi vile vile kama zamani sikuwahi kuombwa rushwa leo nimeombwa rushwa watumishi wanafanya kazi utafikiri za baba zao. Kweli mtu nimetuma barua toka mwezi wa tatu kila ukienda haijajibiwa kumbe kuna mtu kaweka barua pembeni kisa anataka rushwa sasa...
  7. Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

    Ndinkafu! Baada ya kuona Joka langu likiwa limetuna kwenye kaptura kaanza mazoea. Wiki ya pasaka tulitembelewa na Dada wa mke wangu hapa nyumbani, juzi Jumanne Asubuhi wakati natoka niende kuoga kusudi niende kazini, Shemeji alikuwa akitoka chooni nami nikienda bafuni, vyote viko ndani Kwa...
  8. Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  9. M

    Haya mazoea ya kuanza kuanika vifo mitandaoni siyo kabisa

    Imekuwa kawaida kabisa mtu akisikia fulani kafariki kuanza kumweka kwenye status mitandaoni na maneno kama RIP!! Lakini tunafahamu kabisa yawezekana kabisa wanafamilia wameona mwanafamilia fulani asipewe taarifa mapema mpaka yafanyike maandalizi fulani kutokana na changamoto zinazomkabili...
  10. Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  11. U

    CCM yaitaka wizara ya afya kuacha utendaji wa mazoea

    Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Septemba, 2021 na Katibu wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwa Wilayani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara ya wajumbe wa sekretariet inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo. "Wananchi hawana matarajio mengine kwa...
  12. Hizi kauli za IGP za karibuni ni bahati mbaya, makusudi, mazoea au kuchoka?

    Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa. Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi ambayo kwa kweli hayaangukii katika hizo sifa ambazo Mimi binafsi niliwahi kushuhudiwa kuwa anazo. Kauli...
  13. SoC01 Wanaume tubadilike, Tujenge mazoea ya kuambatana na wenza wetu kliniki na wanavyoenda kujifungua

    Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
  14. Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  15. Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
  16. Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

    Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
  17. Tuache mazoea ya kuvumilia kila kitu kwenye ndoa

    Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…