mazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  2. JamiiForums Tanzania Unyakuo ni nini? Je, watakaoachwa duniani baada ya unyakuo, watapatwa na nini?

    Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)! Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  4. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  5. JamiiForums Tanzania Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

    Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen. Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
  10. JamiiForums Tanzania Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

  11. JamiiForums Tanzania Kizazi hiki tunakibebesha majukumu mazito kabla ya ukomavu wa akili!

    Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa. Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo. Rashid Kawawa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
  13. JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

    Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini: Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko: "Chezea wengine siyo beberu!"
  17. JamiiForums Tanzania Maneno gani mazito ya mwisho ungependa yasomwe kwenye msiba wako watu wayasikie

    Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki. je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makala apokelewa Wilayani Karatu, afanya mazungumzo na Viongozi wa CCM na serikali kutoka Ngorongoro

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu. Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…