mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitengo Cha Uzalishaji mazao chini ya wizara ya Kilimo

    Training, Research, Regulations and PRODUCTION. 1). Utafiti wa kilimo(TARI) 2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI) 3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA) 4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA) 5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP). Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
  2. Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

    Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao, Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi, Nataka kununua mahindi, niweke stoo Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
  3. E

    Changamoto lukuki zakabili biashara ya mazao ya kilimo hai Afrika Mashariki

    Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha. Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka. Lengo la itifaki...
  4. Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  5. Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

    Ngazi za Biashara ya Mazao Ngazi ya Kaya Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji Baadhi...
  6. Je! Nini hatma ya mkulima na mazao yake Tanzania?

    Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo" nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu? Hebu fikilia.. Kukodi shamba ni pesa Kulima ni pesa Mbolea ni pesa Kupalilia ni pesa Kuvuna ni pesa Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa Tena ni tsh 1000...
  7. Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  8. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  9. KWELI Mkojo wa Sungura unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao

    Nimekuwa nikiona wafugaji wa sungura wakivuna mkojo wa wanyama hao na kudai kuwa unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao. Wakuu wa JamiiCheck uhalisia wa hili ni upi?
  10. T

    MAZAO YENYE SOKO

    Wadau ,.kama ilivo ada ni lazima watu wale,..nauliza ni nafaka zipi zenye faida na uhitaji,.. Yaani nafaka zinazouzika kwa sana,..pamoja na mikoa husika
  11. Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  12. K

    UFUTA : Kwa Nini Serikali ya Tanzania Inapaswa Kusitisha Minada ya Mazao ya Kilimo

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza mfumo wa kuuza mazao ya wakulima kupitia minada ya kiserikali kwa lengo la kudhibiti bei na kuleta uwazi katika biashara ya mazao. Hata hivyo, mfumo huu una changamoto nyingi ambazo zinaathiri moja kwa moja kipato cha mkulima wa kawaida. Mfano halisi ni...
  13. Biashara ya Mazao

    Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii. SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar. Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa...
  14. K

    Biashara ya mazao

    Napenda kuomba muongozo kwa wanaofanya biashara ya kusafirisha mazao nje ya nchi ya Tanzania. Yeyote mwenye ku-share knowledge
  15. Thamani ya mazao ya kilimo nje ya nchi yameongezeka

    THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni 3.54 mwaka 2023/24 sawa na ongezeko la asilimia 195. Haya ni mafanikio ya Bajeti ya serikali ya mwaka...
  16. Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini

    Tamko la Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Biashara ya Mazao ya Kilimo na nchi za Malawi na Afrika Kusini. Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia === Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ametangaza uamuzi...
  17. Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

    Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
  18. RC Mbeya aagiza kukamatwa wafugaji wote waliolisha mifugo mazao ya Mwananchi, asema mama anunuliwe chakula mwaka mzima

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao. Dkt. Homera alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Chimala, ikiwa...
  19. 5

    Usafirishaji wa mazao

    Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
  20. Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…