mayala

  1. M

    Paschal Mayala: CHADEMA wajishushe, wakubali maridhiano

  2. Idugunde

    JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

    Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari haikuona Majaliwa akishangiliwa? --- Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania ( Jounalist Accreditation Board) imempa muda wa masaa 24 Mwandishi wa habari Mwandamizi Paschal Mayala kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI...
  3. Zee la madawa

    Poleni sana mzee wangu pascal mayala.

    Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya...
  4. Mr Beach Boy

    Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  5. Roving Journalist

    Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  6. jannelle

    Leo ndio nimemuona Paschal Mayala hapa Dodoma, kumbe Grand Pa kabisa

    Namsikia sana humu bt kumbe ni mtu mzima tu, sasahivi kabla sija comment chochote humu nitaanza na shkamoo😀, weeh wampe tu Teuzi anyways ilikuwa poa kumuona, japo nae hajanijua, cheers uncle
  7. Youbettersleep

    Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

    Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo...
  8. M

    Mayala: Samia Kaachie Kidogo kale Kasimba ka Kizimkazi

    Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
  9. D

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Pascal Mayala: Waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, pia pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao

    Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia ukisema pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao, kwamba itakuwa ndiyo...
  11. S

    Member Mkongwe ni Pascal Mayala

    Kwa sasa hivi Member Mkongwe ni Pascal Mayala amejiunga 2008 nikiwa namiaka 7
  12. Beira Boy

    Paschal mayala NO REFORM NO ELECTION imeanza kukaa kwenye mioyo ya watu, watahadharishe huko juu hao ndugu zako

    Amani iwe kwenu wapendwa Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda kinafuka Moshi SAYUNI BOY
  13. Megalodon

    Paskali Mayala ni mwanahahari mzuri lakini anakabiliwa na Uchawa, Neutrality na fear of unknown

    Utopia ni delusional ya Thomas More , and it does not exist .Be informed! Suala la Mama kwenda Nairobi kumuona Lissu halina uhusiano na harakati za no reform no election . After all , kama Maam alienda kumuona Lissu…. Therefore , we should compromise harakati kwa kuwa Mama alienda Nairobi...
  14. ifa96

    Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
  15. Suley2019

    Abasi Mayala: Uchaguzi wetu usitengeneze mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa chama cha Mkoa wa Mwanza, Abbas Mayala amewatahadharisha wanachama, wafuasi na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa juu katika chama hicho kuepuka kutafuta kura huku wakitumia lugha ya matusi, kejeli na fedhea wakati wa kampeni. Akizungumza na Jambotv_...
  16. Just Pray

    Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  17. Kipenzi Changu

    Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

    Habari wana ndugu Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi. Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii...
  18. Superbug

    Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

    Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
  19. britanicca

    The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

    Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ? Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu...
  20. kyagata

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
Back
Top Bottom