mawaziri

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mawaziri na viongozi wana uraia pacha kwa makusudi wanasubiri lolote wasiguswe endapo watashutumiwa mbeleni

    Siwezi kuweka majina wala kupoint watu ila navyosikia za chinichini wengi waliopo madarakani wana uraia pacha ambao wameshatengeneza mazingira la lolote. Kuna mmoja hata nia ya nchii hana malengo nayo. Sasa nauliza kama idara za uhamiaji mfahamu watu wenu tena viongozi mnakwama wapi.
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tatu Bora Mawaziri 2020-2025

    Mimi binafsi nimefuatilia nimeamua kuja na Tatu Bora yangu ya Mawaziri Bora kwa mwaka 2020-2025. Hawa jamaa uwa ni wafanya kazi sana na hawana makando kando linapokuja swala la kazi, na hawanaga kulamba miguu mtu. Waziri Huseein Bashe Amehudumu kama Waziri wa Kilimo tangu alipoteuliwa kama...
  4. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais ajaye atumie muundo huu wa baraza la mawaziri

    Kwa muundo wa Baraza la Mawaziri la sasa naona kuna haja kubwa ya kufanya maboresho ili kuziweka pamoja sekta zinazohusiana na kupungunza wingi wa Wizara usio na tija lakini pia baadhi ya sekta kusimama zenyewe. Kwa mfano; Kuna Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakati huohuo kuna...
  5. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  6. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo watu wamekuwa mawaziri wakuu au Makamu wa Rais kwa miaka isiyozidi kumi lakini wanalipwa maisha yao yote?

    Yaani Cleopa Msuya amekuwa Waziri Mkuu miaka minne na Makamu miaka mitano ndio amekula asilimia 80 ya mshahara wa makamu kwa miaka 30? Kuna huyo Salim Ahmed Salim ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka mitatu tu lakini analipwa asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu kwa zaidi ya miaka 40 sasa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii Leo ameongoza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hawa mawaziri na wabunge vijana, kiinua mgongo wanalipwa Ili iweje?

    Nijibiwe, Vijana( baro baro), wabunge na mawaziri ambao mwaka huu wana miaka 45, chini ya miaka 50, wanainuliwa mgongo upi ambao hata hauna dalili ya kupinda? Yaani mtu ambaye anagombea Tena, Kwanini asitunziwe mafao yake na alipwe akifikisha umri wa kustaafu, na iwe mara moja tu, SI Kila...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Yupo Nchini Marekani Kutoa Mafunzo ya Uongozi Kwa Mawaziri wote wa Fedha na Mipango kutoka Nchi zote zinazoendelea Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote. Ukiona CCM imekuletea kiongozi ngazi ya Urais ili umchague katika sanduku la kura. Basi ni lazima ujue...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

    Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  14. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama rais Samia angekuomba ushauri, ni mawaziri na wakuu wa mikoa gani ungemshauri apige chini na ukiweza, kwanini?

    Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao. Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma. Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
Back
Top Bottom