Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akijiuzulu leo Juni 22, 2026, historia inaonyesha kwa miaka 10, wameshajiuzulu mawaziri sita.
Tatizo ni kwamba mfumo wa kisiasa wa Uingereza unafanya Waziri Mkuu abaki madarakani tu ikiwa anaungwa mkono na chama chake na anaweza kuongoza serikali...