Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube ๐.
China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! ๐ฅ๐ฅ Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...