mauaji ya watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makala ya kiuchunguzi ya CNN iliyotengenezwa na Larry Madowo kuhusu mauaji ya Watanzania Oktoba 29, yashinda tuzo huko Atlanta, GA, Marekani.

    Jana Jumamosi tarehe 15, Agosti 2026, makala ya CNN kuhusu mauaji ya Watanzania wasio na silaha wala hatia yoyote ile, imeshinda tuzo ya Salute to Excellence, ya taasisi ya NABJ. Uchunguzi huo uliopewa jina “CNN Investigates Killing of Tanzanian Protesters by Police”, umetambuliwa katika...
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania JWTZ inapaswa pia kutolea Ufafanuzi matukio ya Utekaji na Mauaji ya Watanzania

    JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ. Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iliadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Soweto ya Juni 16, 1976, lakini inapuuza mauaji ya Watanzania ya 29/10/2025

    Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa. Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa ajili ya kupinga kulazimishwa kutumika lugha ya Afrikaans kwenye masomo. Wanafunzi hawa walikuwa...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Wote waliohusika na mauaji ya watanzania lazima wawajibike au wawajibishwe

    Nilisema humu kuwa hakutakuwa na Msalia mtume wala nini. Tatizo mmeua sana Ndugu zetu, mmeua Sanaa. Hamjaishia kuua, Mmezika kwa Halaiki, haikutosha, Mmechoma Miili ya Ndugu zetu. Oaaaa unyama mloufanya kwa Taifa hili, NI LAZIMA TUTAWANYONGA, TUTAWAFUNGA NA TUTAWAFILISI TU.
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand adai Uchunguzi huru wa Kimataifa juu ya Mauaji ya Watanzania kipindi cha Uchaguzi

    Ninachoipendea Dunia, kamwe haijawahi kuwa mahali salama kwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu. Pale Dunia inapopata taarifa na ushahidi tu juu ya masuala ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kama mauaji ya Raia imekuwa ikiungana pamoja kutaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya Wahusika...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mauaji ya Oktoba 2025 yadaiwa kufikia zaidi ya 6,900. Yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye anawasiliana naye moja kwa moja

    Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill Kama nilivyoleta Uzi hapa ! Kikwete amehusika katika kuwapa order kikosi kuwakamata wanaogusa ugali...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi wameandamana nje ya Mahakama ICC kupinga mauaji ya Watanzania

    Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile wanachokiita mauaji ya raia nchini Tanzania, na wakitaka uchaguzi ufutwe ili, kwa madai yao, “wananchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya watanzania wasio na hatia

    Baadhi ya video zipo Instagram https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=MWRzaGxjMDU3YW9sbw==
  9. Mohamedi Mtoi

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mauaji ya Arusha na kinachoendelea Bungeni juu ya ripoti ya mauaji mengine ya Watanzania

    Wakuu. Naomba kunakili Maneno ya Mchungaji Msigwa wakati akiwasilisha. "Kuikosoa na kuisema vibaya serikali yako hakumaanishi kuwa huna uzalendo na nchi yako, na kuisema vizuri serikali hakumaanishi kuwa wewe ni mzalendo sana na nchi yako" Bungeni wanajadili mauwaji yaliyotokea kwa watanzania...
Back
Top Bottom