mauaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Kwa uchafu wa serikali tokea kushika kijiti ni ngumu sana waziri wa mambo ya ndani kuheshimika

    Serikali ilishakufa pale kijiti alipoachiwa Raisi Samia, tumeshuudia kila aina ya uchafu, ushezi, ukatili, haki kukosekana, mahakama kuongozwa na watu wachache, polisi kijiamulia watakavyo, vyombo vya ulinzi vingi kama jeshi JWTZ sasa kama ni migambo, uhamiaji hakuna kitu huko na TISS na mifano...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Nasisitiza asitokee mtu akauawa. Damu ya mtu haifukiwi na mchanga. Na hakunaga maridhiano kama upande mmoja tuu ndio wamekufa

    Habari za Jumapili. 1. Ndugu zangu bado tupo kwenye Wajibu. 2. Vyovyote iwavyo asitokee mtu akauawa. Ni hatari sana. 3. Muibie mtu atakusamehe ukimrudishia fidia. Mfunge MTU kwa kesi hata za mchongo hewala. 4. Lakini kuua mtu hiyo ni kesi nyingine kabisa. Damu hulipwa na damu na sio pesa...
  3. Cannabis

    PostGE2025 U.S. Senate Foreign Relations Committee: Ripoti ya CNN inaonesha uhitaji wa uchunguzi huru juu ya mauaji yaliyofanywa na serikali ya Tanzania

    Kutoka mtandao wa X 👇. Tunasubiri majibu ya kizalendo kutoka kwa msemaji wa Serikali. -------------- Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani (U.S. Senate Foreign Relations Committee) imetoa taarifa inayoonesha kwa kina hatua za kutia wasiwasi zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania...
  4. Heparin

    PostGE2025 Udongo wa Makaburi ya Kondo tayari umesha nasa DNA za mashujaa wetu hata mkiwafukua baada ya kuumbuliwa haitasaidia

    Kwenye dunia ya leo, ogopa sana Mungu (kwa tunaosali) na Teknolojia. Ripoti ya CNN imeiacha Serikali hii bila nguo, aibu gani hii? Kwamba video za Sekou Toure na Mwananyamala ni halisi, na baadhi ya waliouawa wamezikwa kwenye makaburi ya Kondo. Najua mnaweza kwenda kufukua, lakini DNA analysis...
  5. Izy_Name

    Amsterdam & partners LLP yaonya kuhusu ukatili na mauaji Tanzania; yatoa wito wa hatua za kimataifa

    AMSTERDAM & PARTNERS LLP YAONYWA KUHUSU UKATILI NA MAUAJI TANZANIA; YATOA WITO WA HATUA ZA KIMATAIFA London, Novemba 17, 2025 – Amsterdam & Partners LLP, ikifanya kazi kama mawakili wa kimataifa wa CHADEMA na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, inatoa tahadhari kuhusu kuporomoka kabisa kwa hali ya...
  6. Q

    Ireland nayo yaunga mkono tamko la UN kufanya uchunguzi mauaji Tanzania

    Ireland inaunga mkono wito wa kuchunguza matukio ya mauaji yaliyojitokeza kipindi na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania kama ulivyotolewa na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa. @volker_turk Wataponea wapi!
  7. M

    PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

    ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu...
  8. Just Pray

    GE2025 Askofu Bagonza: Kuna watu wanaua wenzao kwa kisingizio cha kulinda taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki halafu litawasahau

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau" :
  9. Mindyou

    Kamanda Muliro adai Sativa alisema mwenyewe kuwa alitekwa na washkaji

    Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la kutekwa kwa Sativa. Soma pia: Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata...
  10. Abdul Said Naumanga

    TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

    (FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  12. Gabeji

    Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  13. Ngongo

    Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

    Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU. Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
  14. Inside10

    Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  15. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  16. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  17. mdukuzi

    Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  18. Waufukweni

    Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  19. Msanii

    Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  20. J

    Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
Back
Top Bottom