maua sama

  1. I

    Niteke ya Maua Sama

    Kwangu me hii ngoma ndio ngoma yangu Bora kwa mwaka huu.Wakati maua sama ametoa iokote nilizani amebahatisha hi ngoma ilikuwa kubwa sana kuliko jina la maua sama nikajiuliza je ngoma inayofuata itaifunika iokote bila Shaka maua sama kapindua meza ndio ikatokea hi ngoma. Hi suala lilimshindwa...
  2. Zurie

    Kisutu, Dar: Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengineo wafikishwa mahakamani, wapata dhamana

    Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengine 4 waliokuwa wanashikiliwa na polisi kwa zaidi ya siku 7 wamefikishwa mahakama ya Kisutu leo Walishikiliwa kwa kumiliki na kurusha maudhui kupitia chaneli za YouTube ambazo hazijasajiliwa na TCRA. UPDATE: Soudy amepata dhamana Mahakama ya Kisutu...
Top