matumizi sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi sahihi ya kiteknolojia yalete uwiano wa kijinsia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kitaadhimisha siku ya wanawake dunia tarehe 15/3/2023 kwa kuandaa kongamano litakalojadili masuala ya matumizi sahihi ya teknolojia, changamoto na faida zake kwa wanawake na jamii kwa ujumla...
  2. Zawadi Mkweru: Elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ianzie shuleni

    Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii. Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
  3. Matumizi sahihi ya neno mheshimiwa

    MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE) Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao. Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake. Pia...
  4. Ushauri: Matumizi sahihi ya Mswaki

    Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote. Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya msingi kuzingatia unapokuwa unatumia mswaki wako. Unashauriwa kubadili mswaki wako kila baada ya miezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…