matokeo chanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hiki ndio kirutubisho bora cha nguruwe chenye matokeo chanya

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  2. Joshua Mbezi

    Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Wataalam MOI washauriwa kushirikisha jamii ili kupata matokeo chanya katika Tafiti zao

    Wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa kushirikisha jamii katika tafiti za matibabu ya majeruhi wa kichwa na wa mivunjiko ya migongo kwa ajili ya kupata taarifa jumuishi zitakazopelekea matokeo chanya katika mnyororo wa matibabu ya wagonjwa hao. Ushauri...
  4. Genius Man

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  5. realMamy

    Akili hasi kamwe haiwezi kutoa matokeo Chanya

    Hii ni kwa wale watu wabishi wabishi hata kwenye Jambo la msingi yeye anataka kukwamisha. Unakuta mtu kafanya jambo lake analifurahia atatokea mtu tu kuhakikisha anakuliza. Hawa watu tunaishi nao Kazini,nyumbani, Shuleni kwenye Biashara. Hakikisha unawakwepa au unawazoea watu kama hao. Unakuta...
  6. Mhina Martin

    Nahitaji Mbolea ya kukuzia yenye matokeo chanya kwenye zao la mpunga

    Mbolea gani nzuri ya kukuzia niweke kwenye mpunga Wangu mpaka Sasa tangu kupandwa una Siku 45 itafaa kuleta matokeo chanya ya mavuno mazuri shambani wakulima wazoefu wa kutumia mbolea naomba muongozo
  7. S

    SoC04 Kuboresha mifumo ya elimu ya ufundi stadi ili kuleta matokeo chanya katika nchi yetu

    Viongozi wetu wamekuwa wakifanya mabadiliko mbali mbali katika sekta hadhimu ya elimu,mabadiliko hayo kwa namna fulani tumeona yakileta matokeo mazuri. Pia matokeo hayo ni jitihada zilizochukuliwa na baadhi ya waasisi wetu. Tuna vyuo vya ufundi stadi yaani (vocational and training centre) na...
  8. L

    Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji kuwa na sera mbadala zidi ya yule aliyepo madarakani,inahitaji ushawishi wa hoja nzito na sera...
  9. C

    SoC04 Huduma za Matibabu ya Kibingwa na Ubingwa Bobezi Nchini Tanzania: Faida, Changamoto na Mbinu za Kupata Matokeo Chanya

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
Back
Top Bottom