matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini matatizo sugu ya mkoa wa Dar es Salaam?

    Sisi wakazi wa mkoa huu wa Darisalama na wageni wetu hebu tuorodheshe kero sugu zinazoukumba mkoa wetu huu ili kuwasaidia watatua kero wazisikie na kuzifanyia kazi. Kwa kuwa hawawezi kufika ktk kila kona basi mimi na wewe ndio wawakilishi wazuri kuziorodhesha kero zetu. 1.Malori kuingia mtaani...
  2. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Watanzania, licha ya kuwa na sababu nyingine, ila mzizi wa matatizo yetu ni chama tawala CCM

    Ndugu Watanzania, Ni wazi kwamba tangu tupate uhuru 1961, chama kimoja tu ndiyo chama tawala.[emoji21] Mantiki ni kwamba, ndicho chama kilichoshiriki aidha dhuluma au faida kwa watanzania, maana ni chama kinachounda serikali kwa nyakati hizo zote. Vilio vya mtanzania, ni sehemu tu ya kicheko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…