matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini matajiri wanazidi kutajirika zaidi?(sehemu ya 1)

    Swali kuu la uchumi ni chaguo mojawapo.Uzalishaji wowote wa kiuchumi unatawaliwa na muda pamoja na raslimali zilizopo ili kutumika.Lakini mahitaji ya watumiaji kula,kuvaa,kujenga na kupumzika kwa namna mbalimbali ni mahitaji yasiyo na ukomo. Baadhi wanaweza kuridhika lakini vipi kuhusu wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu 10 matajiri zaidi Duniani /Africa na viwango vyao vya elimu kwa mwaka (2019)

    Uzi huu nimeuleta maalum ili iwe fundisho kwa wale wanaosema hakuna wasomi ambao ni matajiri au kusoma hakuna maana, ni kupoteza muda nk. Listi ya matajiri 10 duniani, kiasi cha utajiri, vyuo walivyosoma 1. Jeff Bezos - (USD 110 billion) - Princeton University - Bachelors 2. Bill Gates - (USD...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

    Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…