masomo ya sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Seka Sekondari - Wanavijiji waamua kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi

    SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano. Sekondari hii iliyojengwa Kijijini Seka, Musoma Vijijini, ilifunguliwa tarehe 5.7.2021. Sekondari ina jumla ya wanafunzi 344 (Vidato...
  2. JamiiForums Tanzania TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

    Niende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

    Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance. Check me 0743303233 au 0673803233
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…