Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...