Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa rohoni: Kwa nini mtu achague jina la kumtukuza shetani, ambaye ni adui wa nafsi za wanadamu wote?
Ni...
Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha.
. Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;
1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
aliyekuwa
chadema
chadema taifa
chama
heche
itifaki
john
john heche
john mrema
kiongozi
kuhusu
kupigwa
mambo
mambo ya nje
masikitiko
mawasiliano
mkurugenzi
mlinzi
mrema
nje
taarifa
taifa
https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza Chid Benz.
Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena.
Niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni ilyotegemea furaha kutoka kwangu imeumizwa na uwepo wangu. Aibu ndio utakuwa mwisho wangu.
Ahsanten wanangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.