Kumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu
Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa ili umuoneshe umuhimu wa yeye kukamilisha taratibu zote akuchukue kwenu na kukutumia kihalali...